mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 892
- 1,709
Ukiona nimekuja kuandika jambo humu ujue limenifika hapaaa.TRA Import Zone kuleee tabata near Mwananchi kuna huyu baba mgeni ambae ndio incharge wa ile bandari kavu kahamishwa kutoka Musoma nafikiri anatunyanyasa sana ma agent wa clearing and forward,unaweza pangiwa kodi ya kulipa ukapeleka file lako kwake akakuzungusha mara mbona wamekupangia kodi kidogo sana,mara hii kodi kwako haifai na sio ma agent tu kaondoa wafanyakazi woteeee hata wale waliokua wageni waliokua wamehamishiwa pale ambao hawana hata miezi 6.Halafu ana lugha mbaya kali na ya vitisho anasema mimi mkurya kabila langu linaniruhusu.....then what...ukurya wako kwenye makontena wapi na wapi ?
TRA sikilizeni tunajua mmepewa agizo la kudouble makusanyo ,makusanyo ya kodi yanapanda pale mnapofikiria vyanzo vipya vya kodi lakini si kwa kufokea wateja,kuwasumbua,kuwanyanyasa na kuwapandishia kodi zisizo na maana ......acheni uvivu wa kufikiri.Leo mmepandisha bei ya kuanzisha biashara mpya kariakoo badala ya kupunguza haya makodi ili biashara nyingi zifunguliwe mkusanye kodi nyingi na ajira zitengenezwe mnazidi kufanya hali kua ngumu zaidi na mnapofanya hali kua ngumu zaidi na sisi wafanya biashara tunaangalia namna gani ya kuiba kwa akili zaidi hela nyingi.Hizi sio sifa tunapenda kulipa kodi na Taifa letu listawi lakini si kwa ubabe wa aina hii na mabavu.
Yaani kama huyu jamaa mkurya atabaki huko,nawapa siku chache tutamshikisha pesa ya moto kwa njia yoyote ile,anarudisha vijana wake wote aliokua anafanya nao kazi mikoani na sehemu zingine vijana wanakuja weupe mtu unampa afanye kazi hajui aanzie wapi anakutolea macho,guys jamani jamani haya mambo hatuyaendeshi hivi mazingira ya kuogopana mnayatengeneza wenyewe mmepewa challenge ya kuongeza kodi mlitakiwa mfikiri ama hata kwa kutushirikisha wafanyabiashara ambao ni wadau wakubwa na walipa kodi wakubwa nini kifanyike badaala yake mnatutishia kwa kauli za makabila na vitisho vingine......najua mshanielewa namzungumzia nani so watch yourself.