lucas obedy
Member
- Jun 29, 2016
- 6
- 1
Jamani nilikuwa naomba kuuliza vipi kuhusu wale waliofanya application za TRA, je tayari usaili umeshapita au bado maana naona miezi inazidi kukatika ?
Uwe unatembelea tovuti ya ajira walau mara moja kila sikutaarifa zenu wakubwa
Mtaitwa wiki hii punguza munkari
Subir uone kwanza kwan unajua mi ni naniHuu ndo uongo sasa, we umejuaje
Vijana wa kitz hapo utakuta Yuko home anasotea msosi then huku kwa viile anatumia feki ID anakuuliza unajua mm Nani? Nina uhakika asilimia zote (100) wewe sio mtu wa umma, angalia IQ yako uliyotumia kujibu swali na kama unabisha nambie taasisi unayifanyia kazi nikuulize swali la hiyo taasisi then ujibu Kama Ni kweli?.Subir uone kwanza kwan unajua mi ni nani
Sitaki kujibizana na ww eti umuulize swali we Nani hadi uniulize Mimi swali fuata yako kijanaVijana wa kitz hapo utakuta Yuko home anasotea msosi then huku kwa viile anatumia feki ID anakuuliza unajua mm Nani? Nina uhakika asilimia zote (100) wewe sio mtu wa umma, angalia IQ yako uliyotumia kujibu swali na kama unabisha nambie taasisi unayifanyia kazi nikuulize swali la hiyo taasisi then ujibu Kama Ni kweli?.
Then wewe utakuwa umeropoka tu baada ya kuona majibu yaliyotolewa na utumishi kwenye page yao baada ya kuulizwa swali Kama la mleta uzi (mada) kuhusu siku ya kutoa majina ya usaili wa TRA wakajibu " yatatoka hivi karibuni".
Vijana wengi wa kitz mnaishi kwa maigizo zaidi ndo maana mnakufa maskini
Why unajifanye humu Kama mshuwa vile, acha akili za kijiweni IQ yako tu inaonesha iko kiwango gani hata the way unavoreply thread.Sitaki kujibizana na ww eti umuulize swali we Nani hadi uniulize Mimi swali fuata yako kijana
Kazi kwao wazee wa kj maana ushaweka udambwi dambwi wote mkuu.Kwa wale vijana mliomaliza vyuo na kupitia Jkt MSD ( medical department store) wametangaza nafasi za security officer wanataka wenye bachelor holder changamkieni hizi fursa, msd Ni moja Kati ya taasisi zinazolipa vizuri kwa tz.
Kwa wasiojua.
Bachelor holder Msd basic Ni 1.5mill kwa masaa ya kisheria, ukifanya mazaa ya ziada mpunga unatuna ( Hawa jamaa hawana longolongo kwenye malipo ya overtime wanajali Sana wafanyakazi wao so utalipwa kadri ya masaa ya ziada uliyofanya).
Wanalipa gharama za nyumba na usafiri kwa kila mfanyakazi wao, wanagawa maziwa kila siku kwa wafanyakazi hii Ni kwa sababu ya nature ya kazi ya madawa.
Then kila sikukuu sio tarh25 yaani national holiday yeyote kila mfanyakazi anakula 400k ya kupumzikia.
Msizilau hizo nafasi mliomaliza vyuo mkiwa na magamba ya Jkt au mgambo ziombenj haraka
Mtaitwa wiki hii punguza munkari