johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,025
Achaga majungu tra kitillya kabla ya kiongozi wa juu alitoka wapiTangu imeanzishwa TRA haijawahi kuongozwa na mtoza ushuru.Alianza Sanare akaja muhasibu Kitilya then banker Bade na sasa Kadata.Sasa sielewi pamoja na ITA kuwepo kwa zaidi ya twenty five years wameshindwa kutoa wabobezi wa kushika nafasi nyeti hapo TRA.Ubunifu zaidi unahitajika pamoja na success iliyofikiwa
Tangu imeanzishwa TRA haijawahi kuongozwa na mtoza ushuru.
Achaga majungu tra kitillya kabla yaL kiongozi wa juu alitoka waKitiQUOT Kitilya alitokea TBL kama accountant akapewa ukamishna wa incometax na Sanare
Nani kakudanganya? Kama sio big deal kusengekua na vyuo vya kutoq degree za tax.Taxation mtu wa fani yoyote aweza ANASOMA.Linafundishwa degree zote.Somo la tax lipo.Professional examination bodies zote hilo somo lipo.It is not a big deal like medicine or engineering!! Mtu yeyote aweza kuwa kamishna wa TRA
Alikuwa TBLAchaga majungu tra kitillya kabla ya kiongozi wa juu alitoka wapi
Taxation mtu wa fani yoyote aweza ANASOMA.Linafundishwa degree zote.Somo la tax lipo.Professional examination bodies zote hilo somo lipo.It is not a big deal like medicine or engineering!! Mtu yeyote aweza kuwa kamishna wa TRA[/QUOTPitPitia pale IFM utaeleweshwa
Nani kakudanganya? Kama sio big deal kusengekua na vyuo vya kutoq degree za tax.
Tax sio taaluma.Taaluma zote huwa professional bodies za kuwasimamia .Tax ni taaluma ndugu Yehodaya
Hivi unaweza kulinganisha kwa mfano VAT au INCOME tax a nayo fundishwa mtu wa accounts na mtu wa ITA acha uvivu wa kufikiri basi blazaDegree za Tax zina nini cha ajabu? Masomo mengi ni yale yale wanayosoma digrii zingine!! Digrii unakuta inaitwa ya Tax LAKINI MLE NDANI MASOMO MENGI unakuta ni yaleyale yaliyoko kwenye digrii zingine.Chukua sylabuss ya digrii zingine hasa za arts linganisha na ya Taxation digrii uone kuna tofauti gani ya maana.Hakuna.Ni vitofauti vidogo vidogo ambavyo sio material.Mtu akienda hata short course ya taxation ya wiki mbili au akajisomea kwenye internet kama havijui aweza vijua vyote
Hivi unaweza kulinganisha kwa mfano VAT au INCOME tax a nayo fundishwa mtu wa accounts na mtu wa ITA acha uvivu wa kufikiri basi blaza
Mkuu wengine hawajui tofauti ya ITA naTIAHivi unaweza kulinganisha kwa mfano VAT au INCOME tax a nayo fundishwa mtu wa accounts na mtu wa ITA acha uvivu wa kufikiri basi blaza
Taxation mtu wa fani yoyote aweza ANASOMA.Linafundishwa degree zote.Somo la tax lipo.Professional examination bodies zote hilo somo lipo.It is not a big deal like medicine or engineering!! Mtu yeyote aweza kuwa kamishna wa TRA
Subirini profesa chapati awafafanulie![/QUOTTehTeh ndonani huyo