TRA acheni kukimbizana na wafanyabiashara wazawa tena wadogo.
Kampuni ya wahindi Cool Blue hawaruhusiwi kutoa efd, mbona hamdili nao au hii kampuni mkubwa gani ana share kule?

Du mdau umeileta huku hawakawii kukujua ni wewe. ni bora ungeenda TRA au ungeandika kwenye tovuti yao kuna sehemu nimeona tax evasion and staff misconduct ili wawafatilie. maana hivi wanaweza jificha wasijulikane.