bwanaharusi
Member
- Jun 5, 2011
- 47
- 18
Ni jambo linaloumiza kichwa sana kuona huyu bwana anatajwa katika ufisadi mbalimbali katika nchi hii, japo ni miaka mingi imepita tangu atoke madarakani, huyu ametajwa kuihujumu Tanesco, huyu anatajwa meremeta. na bado serikali inaendelea kumtumia katika maeneo mbalimbali.
Tunasema hivi Taarifa ya waficha fedha uswiss ikitoka lazima tukufunge au hata kukunyonga kama kutakua na ushahidi wa kwamba na wewe umo, tamaa itakufikisha wapi wewe mzee?
mzee umebakisha miaka michache sana ufe kwa uzee lakini bado huoni aibu ya kuendeleza ufisadi! ombea tusikubaini hatukuogopi ng'oooooo.
Hoja zako zote hazina msingi na zimelenga kwenye udini mno
Hapo sasa!! jamaa badala ya kujibu hoja anaanza kutoa visingizio vya Ki-CCM CCM. And this is the only gear left with CCM. Wanaingiza uchochezi wa kidini ili waendelee kutawala kexxe hawa.udini wa aliyetoa hoja uko wapi?
Hoja zako zote hazina msingi na zimelenga kwenye udini mno
<!DOCTYPE html PUBLIC "-//W3C//DTD XHTML 1.0 Strict//EN" "http://www.w3.org/TR/xhtml1/DTD/xhtml1-strict.dtd">Mara ya mwisho mtandao wao ulikuwa updated 2005
Opportunities
Watanzania hawajui:
Ramani ya Maeneo yepi yana hayo mafuta au gesi
Makampuni yepi yanafanya huo Utafiti
Makampuni yepi yamepewa hizo blocks
Utaratibu ukoje
Kiasi gani washatoa kama malipo
Idadi ya walioajiriwa toka nje
Idadi watanzania waliopo kwenye haya makampuni
na pia msisahau tuhuma za ufisadi wa hali ya juu kuwa kuna cartel ya matajiri wa Tanzania ambao wanapewa hayo maeneo kisha wao wanauzia makampuni menguine makubwa ya nje.
Sasa kwa nini huyu Mwanajeshi asiwe muwazi zaidi tukajua kinachoendelea?
Mara ya mwisho mtandao wao ulikuwa updated 2005