habari za uhakika za nyuma ya pazia toka tpdc ni kwamba hawa jamaa huwa hawachelewi kuita watu na mchakato uko fasta lkn nw wamechelewa sana wanashindwa cha kufanya maana vimemo ni vingi kupita kiasi kutoka ikulu,wizarani,idara nyeti serikalini na kila kona ya serikali...so hata wakiita itakuwa ni formality tu,watoto wa walalahoi hatuna chetu...lkn tuzidi kuomba maana liko Tumaini MUNGU pekee...tuombe aingilie kati...amen