Tpdc-ps1

jamiif

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
2,413
Reaction score
995
Habarini za leo wakuu.

Eti mshahara wa TPDC PS1 ni kiasi gani, yaani ni shilingi ngapi?

Tafadhali.
 
habarini za leo wakuu..
eti mshahara wa TPDC PS1 ni kiasi gani yaani ni shilingi ngapi?
Tafadhali.

Yani kabla hata hujawa short listed unauliza hela kiasi gani?
Unajua application zitakua zaidi ya 10,000?
 
jibu swali mkuu acha roho mbaya na kukatisha watu tamaa kha!km hujui kuwa mstaarabu, KAA KIMYA!
Yani kabla hata hujawa short listed unauliza hela kiasi gani?
Unajua application zitakua zaidi ya 10,000?
 
jamani mbona ni mashushu tu hapa, wakuu, mimi ni muajiriwa tayari, nina ajira jamani! hilo swali nimeulizwa na ndg yangu mmoja ambaye anatafuta kazi sasa nikashindwa kumjibu ndio maana nimekuja kuuliza hapa....msotokwe na mapovu bureee...jibuni swali kwa anayejua.....
 
masuala ya gpa yanatoka wapi!:focus: pliz!
 
mambo si hayo....hili ndio jibu sasa...asante mkuu..ila hata mkiwa 10,000,000,000 etc... kumbuka riziki anayetoa ni M/MUNGU TU! so usiogope jiamini tu...kila la kheri!
1.7m .

lakini tutakua zaidi ya 10,000.
 
Na STAMICO - Salary Scale SMC 5. ni kiasi gani wakuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…