TPDC Kumekucha - Call for Interview

Asante mkuu Mwanamaganga,Waweja sana Poti
pamoja sana kamanda .. maana ni lazima ufanyike uhakiki wa chuo ulichosoma uko ughaibuni..
kwa bongo vyuo vilivyo vingi viko chini ya TCU na NACTE..so by default hivi havina shida..



 
Wanavyosema TCU certification wanamaanisha nini wadau??


Inamaanisha kuwa kama ulisoma digrii yako, etc, nje ya Tanzania, basi lazima upitishe cheti/vyeti vyako pale TCU ili wajiridhishe uhalali wa cheti/vyeti hivyo au chuo ulichosema nje, and baada ya hapo wanathibitisha in writing kuwa Cheti chako is valid and acceptable for Tanzania's standards and can be used in Tanzania as well.
 
Hapa ndipo ninapopata shida kujua nia ya shortlisted.Nini maana yake? Hivi hii ni shortlisted au longlisted? Nafasi ya System watu wanaohitajika ni 8 tu lakini una shortlist watu 213 ili iweje? Unaweza kweli kupata watu 8 katika 213? Busara wangeendelea kuchambua na kuweka walau 30. Silalamiki kwa sababu hajaniita bali natak kuangalia mantiki ya shorttlisted.
 

Ni kwl mkuu unächosema!but kama vigezo vya hao 213 vipo above ya needs zao unadhan wafanyeje!?
 
jamani mbona homepage ya tpdc haifunguki kwenye simu yangu wakati siku zote huwa inafunguka? tatizo hilo nnalo peke yangu au?
 
sijui watarudia mchezo ule kwa ngazi internal audit II kutuletea mtihani wa module e wa nbaa.. nakufanya usanii wa jioni matokeo.. nawaza kwa sauti
 
sijui watarudia mchezo ule kwa ngazi internal audit II kutuletea mtihani wa module e wa nbaa.. nakufanya usanii wa jioni matokeo.. nawaza kwa sauti

bora umewaza kwa sauti wengine tumepata posible qns R.I.P TANZANIA VIVA TANGANYIKA
 
kwa yoyote ambae anajua au ana mtu wa kumuulizia,hizo za electrical engineer research officer mbona hawajatoa???

wametoa leo kwenye guardian na daily news 28.03.2014

INTERVIEW TAR 10.4.2014 MSIMBAZI CENTRE
 
watu wa account na audit nendeni pale nbaa mkanunue pepa, zubaeni tu
 

Nafasi ya System Analyst II inahitaji mtu mmoja tu halafu wameita watu 213, hii sio shortlisting ni u.....
 
Jamani eeeh! kama kuna mtu ana taarifa za kiinteligensia kuhusu ni lini TPDC wataita watu kwenye oral interview embu watujuze. Maana inaonekana hawa jamaa wanaweza kuwashtukiza watu halafu ikawa hujajiandaa mwishowe ukaenda kutia aibu mbele ya panel... Chezea panel wewe! unaenda na fuvu lako unakutana na ma prof. na ma Dr wako kamili gado madesa kichwani tembooo halafu wewe kichwani desa sisimizi utaomba ardhi ipasuke... Ebana eeeh, wadau fanyeni mambo basi kama kuna mwenye fukununu aweke wadau waanze kujikoki.
 
Jamani marketing officer walishatoa.. maana ni nlidowload ambayo yalikua hayana hayo matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…