TPDC Call for oral interview time table

TPDC Call for oral interview time table

Soma kila kitu kinachohusu course yako. Interview zao ni maswali ya darasani, ko jipange saana.lakini pia huwa hawatoki mbali na topic au idea za pepa mlopiga ya written.
 
asante mkuu, umenipa pa kuanzia japo sijauliza mimi.
 
Soma kila kitu kinachohusu course yako. Interview zao ni maswali ya darasani, ko jipange saana.lakini pia huwa hawatoki mbali na topic au idea za pepa mlopiga ya written.

hii tpdc imenifanya nijiunge na jf kwa kusaka posible atleast niwe aware kuliko kwenda kichwa kichwa maisha ni magumu jamani .nakushukuru ndugu
 
darasan tena sasa ss wa principal security itakuaje maana tumesoma sheria kazi ulinzi tena degree za tulioitwa n mbalimbali kuna law, businness n.k sasa wata hoji general iqz au niaje hapa dahhhh kaz nyingine mhhhhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom