S suzy shoo New Member Joined Dec 12, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Dec 12, 2013 #1 wajameni hivi waliofanya oral interview november pale TPC makao makuu walishaajiliwa?
Mkalibari JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 659 Reaction score 399 Dec 12, 2013 #2 suzy shoo said: wajameni hivi waliofanya oral interview november pale TPC makao makuu walishaajiliwa? Click to expand... Wameshapewa barua zao za kazi lakini huo mshara loh,bora wangewatangazia watu mapema kuliko kuwapotezea tym.
suzy shoo said: wajameni hivi waliofanya oral interview november pale TPC makao makuu walishaajiliwa? Click to expand... Wameshapewa barua zao za kazi lakini huo mshara loh,bora wangewatangazia watu mapema kuliko kuwapotezea tym.
S suzy shoo New Member Joined Dec 12, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Dec 12, 2013 Thread starter #3 asante kwa taarifa
A amojokatani Member Joined Aug 3, 2010 Posts 18 Reaction score 1 Dec 18, 2013 #4 suzy shoo said: wajameni hivi waliofanya oral interview november pale tpc makao makuu walishaajiliwa? Click to expand... mi nilipigiwa simu kwaajili ya kazi tangu 12 december, wakasema watatutumia barua lakini mpaka leo barua haijafika, mi nipo mwanza... Mwenye taarifa zaidi.....
suzy shoo said: wajameni hivi waliofanya oral interview november pale tpc makao makuu walishaajiliwa? Click to expand... mi nilipigiwa simu kwaajili ya kazi tangu 12 december, wakasema watatutumia barua lakini mpaka leo barua haijafika, mi nipo mwanza... Mwenye taarifa zaidi.....
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Dec 18, 2013 #5 Barry Dauda Jr said: Wameshapewa barua zao za kazi lakini huo mshara loh,bora wangewatangazia watu mapema kuliko kuwapotezea tym. Click to expand... mshahara wao sh ngapi?
Barry Dauda Jr said: Wameshapewa barua zao za kazi lakini huo mshara loh,bora wangewatangazia watu mapema kuliko kuwapotezea tym. Click to expand... mshahara wao sh ngapi?
S suzy shoo New Member Joined Dec 12, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Dec 19, 2013 Thread starter #6 wakuu nimesikia post controler wameshaitwa sasa sijui na maauditor kama watakuwa tayari wameshaitwa