TPB BANK - BANK OFFICERS (PEMBA).

peter willson

Member
Joined
Dec 4, 2015
Posts
19
Reaction score
3
Habari wana jamvi.

Ninaomba kuuliza kwa mwenye taarifa ya nafasi za kazi zilizotangazwa na TPB Bank za Bank officers 2 (Pemba), deadline yake ilikuwa tarehe 16/07/2018. Je wameita watu kwa ajili ya usahili?
 
siyo kweli. jamaa zangu wakristo walikuwa huko Pemba kama maafisa mikopo na walipiga kazi tu. wapemba siyo wakorofi kiasi hicho mnavyowafikiria.
.....................YOU..WISE...............
 
huko Pemba tunahitaji Waislamu tuu
phobia!
Tpbs ni benki ya serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
Halafu kutosafiri nako kunachangia
Pemba kuna polisi,tpdf,Tiss,ttcl n.k ambapo vina watumishi wakristo
we baki na njaa yako kwa kuendekeza udini,wenzako wanapiga kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…