Abbasfarudume JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 1,625 Reaction score 1,327 Aug 29, 2017 #1 Wafanyakazi walalama njaa kali na manyanyaso kutoka ngazi za juu posho zatolewa kwa Upendeleo. Wafanyakazi ngazi ya chini posho zao zimekatwa na wakati wao ndio wanaoliingizia pesa sh*r*k* Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanyakazi walalama njaa kali na manyanyaso kutoka ngazi za juu posho zatolewa kwa Upendeleo. Wafanyakazi ngazi ya chini posho zao zimekatwa na wakati wao ndio wanaoliingizia pesa sh*r*k* Sent using Jamii Forums mobile app
Abbasfarudume JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 1,625 Reaction score 1,327 Aug 29, 2017 Thread starter #2 Jiwe gizani hilo yule atakaesema yallah. Ujuwe limempata Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,986 Reaction score 189,587 Aug 29, 2017 #3 Njaa kali
Abbasfarudume JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 1,625 Reaction score 1,327 Aug 29, 2017 Thread starter #4 Hatari tupu mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
L Lihove2017 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 423 Reaction score 560 Aug 29, 2017 #5 Posho zipi tena? Zilikuwepo kwenye scheme of service? Mbona mshahara unatosha mkuu.mlishaambiwa muache kazi kama vipi
Posho zipi tena? Zilikuwepo kwenye scheme of service? Mbona mshahara unatosha mkuu.mlishaambiwa muache kazi kama vipi
mkomwa Kelvin New Member Joined Jul 27, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Aug 29, 2017 #6 Hatar Sent using Jamii Forums mobile app