Toyota XTRAIL for SALE

Toyota XTRAIL for SALE

alphoncetz

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
280
Reaction score
50
Gari inauzwa nissan Xtrail

Year 2001
imetembea KM 73874
Price 17,000,000

Contact me through

alphonce@alphonce.net
+255 767659145
+255 787659145

DS1.JPG DS2.JPG DS3.JPG
DS4.JPG
DSC01380.JPG
 
Mkuu nina hofu unataka kuuza gari ya watu, kweli x trail ni toyota hata picha umeshindwa kuiona wakati umeweka mwenyewe
 
Huyu atakuwa tapeli,gari lenyewe liko porini.TOYOTA XTRAIL HII MPYA KULIKO.
 
Mkuu unauza kitu usichokijua? Hiyo ni Nissan Xtrail na siyo Toyota Xtrail. Fanya marekebisho ya tangazo lako mkuu.
 
Kwanza iete mjini ndio uibandike hapa. Inavyooneka huko kama siyo sumbawanga ni mabwepande
 
huyu jamaa amejipanga anataka kuwashika baadhi ya watu wa mikoani usifikiri ni mjinga, kuna kale kaugonjwa ka kua magari yasiokuwa toyota hayauziki ndo anataka kukabiliana nako. poa mkuu kila la kheri utauza tu usijali gari inaonekana imesimama vizuri
 
Ila 17m mkuu??!!!au umeacha room ya ku'negotiate??
 
Mkuu nina hofu unataka kuuza gari ya watu, kweli x trail ni toyota hata picha umeshindwa kuiona wakati umeweka mwenyewe

Huyu atakuwa tapeli,gari lenyewe liko porini.TOYOTA XTRAIL HII MPYA KULIKO.

Mkuu naomba ufafanuzi kidogo hapo kwenye red, kwani nashindwa kuelewa:nimekataa!!!!!

Mkuu unauza kitu usichokijua? Hiyo ni Nissan Xtrail na siyo Toyota Xtrail. Fanya marekebisho ya tangazo lako mkuu.

Sijawahi kusikia kitu kinaitwa TOYOTA Xtrail. Ukweli ni kwamba Xtrail ni NISSAN, hata kusoma hujui?

Tiba

huyu jamaa amejipanga anataka kuwashika baadhi ya watu wa mikoani usifikiri ni mjinga, kuna kale kaugonjwa ka kua magari yasiokuwa toyota hayauziki ndo anataka kukabiliana nako. poa mkuu kila la kheri utauza tu usijali gari inaonekana imesimama vizuri

wakuu zangu msameheni bure jamaa kateleza kidogo kiuandishi
 
Jamani was a sleep of tang! Kama mulugo. napenda mno toyota ndio maana ikatokea hivyo. Nimesharekebisha tayari. Wenye nia ya kununua tuwasiliane
 
Hii gari maeneo ya Chunya kwenye tope inahimili au ya kimjini?
 
Aaaaaah, hata mwenyewe ilinishitua nilipoona toyota xtrail ilibidi nifungue kuiona hiyo gari.Huyu jamaa ni mwizi,maana hata kusoma hajui wala picha haoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom