Sijui WISH, binafsi naendesha Toyota Isis, ya mwaka 2008 ya 1800cc. Kwa wastani inakula km 10 - 12 kwa lita. Shida moja tu kubwa niionayo ni kwamba gari ipo chini.Kama unatembea sana kwenye barabara zenye mabonde makubwa inaweza kukufanya usifurahie kuiendesha. Engine inaflow vizuri sana. Gari ina nafasi ya kutosha na kama bila kujali unaendesha kwenye rough road isiyo na mabonde au kwenye lami... Gari inaflow vizuri sana...