Asante mkuu kwa ushauri, vp kuhusu Ipsum 2.4L japp hapa najua matumizi ya mafuta itakuwa shughuli.Muhimu kuzingatia wapi unaishi na njia zake zikoje, muhimu sana. Hizo gari zote ni laini sana, sidhani kama mjapani alizitengeneza kwa ajili ya shuruba.
Wish nyingi ninazoona njiani zinachoka haraka, zimepigwa "ribiti" za kufa mtu.
Kweli asee... hizi wish zinahitaji kudekezwa sana... yani lami kwa lami. Rough roads inatepeta balaa. Jamaa yangu kaichukua show room haina hata mwaka lakini inasikitisha sana... Kama huna ubishoo kama anko wangu kamata mchuma unaitwa probox ... inafanya kazi kama pickup na daladala...Asante sana kwa ushauri mkuu.
Nashukuru Asprin kwa ushauri, hiyo Isis nayo ni vilevile?Kweli asee... hizi wish zinahitaji kudekezwa sana... yani lami kwa lami. Rough roads inatepeta balaa. Jamaa yangu kaichukua show room haina hata mwaka lakini inasikitisha sana... Kama huna ubishoo kama anko wangu kamata mchuma unaitwa probox ... inafanya kazi kama pickup na daladala...
Sipendi kutenda dhambi... sina uzoefu nayo kiongozi wanguNashukuru Asprin kwa ushauri, hiyo Isis nayo ni vilevile?
Asante sana kwa ushauri wako mkuu.Ipsum ni gari nzuri kuliko Wish kwa upande wangu japo kuwa Ipsum inatumia mafuta zaidi ya Wish. Kwa upande wa ukubwa wa injini siyo shida kwa gari zote mbili kwani ni vvti ingini kwa hiyo kinachobaki ni uendeshaji wako tu ndiyo utaelekeza ulaji wa mafuta utakayotumia japo kwa uzoefu wangu mdogo ipsum inaenda wastani wa 10km/1L ila upande wa Wish sifahamu. Pia Ipsum ina balance sana inapokua unaiendesha kwa speed kubwa. Body ya Ipsum ni imara kuzidi Wish. Pia upande wa muonekano Ipsum ipo vizuri kuliko Wish
12 kwa bongo unakamata mtamboDuh, Alphard parefu sana.