B botafongo jr Senior Member Joined Aug 13, 2013 Posts 107 Reaction score 17 Aug 6, 2016 #1 Habarini, mwenye kufahamu bei ya Toyota volts kwa sasa
K king90 JF-Expert Member Joined Apr 18, 2014 Posts 368 Reaction score 221 Aug 6, 2016 #2 Wapi show room au kuagiza? Show room inacheza 15-18M inategemea na mwaka na kama ni 4wd zipo juu zaidi. Ikiagiza inacheza 14-18M
Wapi show room au kuagiza? Show room inacheza 15-18M inategemea na mwaka na kama ni 4wd zipo juu zaidi. Ikiagiza inacheza 14-18M
B botafongo jr Senior Member Joined Aug 13, 2013 Posts 107 Reaction score 17 Aug 6, 2016 Thread starter #3 king90 said: Wapi show room au kuagiza? Show room inacheza 15-18M inategemea na mwaka na kama ni 4wd zipo juu zaidi. Ikiagiza inacheza 14-18M Click to expand... Asante mkuu
king90 said: Wapi show room au kuagiza? Show room inacheza 15-18M inategemea na mwaka na kama ni 4wd zipo juu zaidi. Ikiagiza inacheza 14-18M Click to expand... Asante mkuu
K king90 JF-Expert Member Joined Apr 18, 2014 Posts 368 Reaction score 221 Aug 6, 2016 #4 botafongo jr said: Asante mkuu Click to expand... Ni gari nzuri sana,ina cc 1790,ukipata yenye 4wd utafurahia maisha.Shamba unaenda na mjini unatesa.iko poa sana
botafongo jr said: Asante mkuu Click to expand... Ni gari nzuri sana,ina cc 1790,ukipata yenye 4wd utafurahia maisha.Shamba unaenda na mjini unatesa.iko poa sana