Sijawah tangaza hili gar kwa sh. 5m. Hilo la kwanza!, pili matatizo ya hili gar nisha sema kama unahela njoo na fund wako akague kama atakuta matatizo tofaut na hayo niliyo sema, nimepunguza bei kutokana na uitaj wa fedha haraka! 4.7 milion watu waliokuja kucheki wenhi wao ni madalali mnunuz hakuna; nadhan nimeeleweka