mchakachuaji192
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 366
- 69
Nimeagiza nyingine ipo njiani inakujaUkiacha hitaji la hela ... ni sababu gani nyingine inakufanya uliuze so soon???
Hujanijibu mchakachuaji192,
Gari umeingiza kutoka wapi??
nimeogopa jina lako, la tungefanya biashara/
Rangi tamu sana hii,ndo inaitwaje?
hzo attachments zina 4.9MB? Si matusi hayo?
Nimeagiza nyingine ipo njiani inakuja
By mchakachuaji192
Nimeagiza nyingine ipo njiani inakuja
kwanini uliagiza hii kama ulikuwa hauihitaji?
Waungwana nauza gari hiyo details zake ni kama ifuatavyo:
Mwaka:2000
cc990
Auto
Petrol
imetembea km 81,400
imesajiliwa wiki moja iliyopita
Bei ni 6,800,000 maongezi yapo.
Mawasiliano: 0772 252 000