Umeonaee! Maana hiyo gar bei haishuk ndo maana imekaa sana, yan mpaka nimeuza Nissan march zangu mbil humu humu lakin jamaa mpaka leo anakomaa na bei hiyo hiyo!Sema narejesha tangazo.
Maana mwaka Jana nimeliona tangazo kama hili.
Sasa Muda wa kushusha bei umefika