Toyota vidz inauzwa 4.7

Toyota vidz inauzwa 4.7

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
Gari ipo katika hali nzuri sana himelipowa vibali vyote namba B ipo Dar es salaam.
mziki haircondition full kiyoyozi.
Bei inapungua kidogo piga simu 0712690760
 
Gari iyo hapo
 

Attachments

  • 1425556046843.jpg
    1425556046843.jpg
    48 KB · Views: 706
  • 1425556079205.jpg
    1425556079205.jpg
    78.4 KB · Views: 651
  • 1425556127662.jpg
    1425556127662.jpg
    58.6 KB · Views: 646
  • 1425556181579.jpg
    1425556181579.jpg
    61.7 KB · Views: 629
Chukua 2.5 sasa ivi mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
HV nyie wabongo mtajua lini kufanya biashara? mbona mnaishi kwa mazoea si tulishakubaliana hapa kwamba ukileta biashara yako hasa ya magari ambayo ni used kama la kwako tuelezee limetembea km ngapi uwezo wa injini yake uko vipi cc ngapi n.k wewe unaleta sijui miziki sijui nini kwani nini amekwambia watu wa nataka kucheza disco kwenye gari be creative lol
 
Chukua 2.5 sasa ivi mkuu Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu hata mm naona kwa bei hiyo kanatosha hata kukimbizia watoto shule, lkn kupasua njia kuja huku Bara km Kondoa hakatafika,
 
km 106658 mill 2.5nooooooooo!
 
M 3.5 nikuone sasa hivi nipo serious.................reconciliation is allowed.....!
 
Gar ipo katika hali nzuri sana himelipowa vibal vyote namba B ipo dar es salaam mziki haircondition full kiyoyoz bei inapungua kidogo

Haya matangazo ya jeiefu bana...

Toyota vidz, haircondition, mziki teh teh teh!!!
 
Haya matangazo ya jeiefu bana...

Toyota vidz, haircondition, mziki teh teh teh!!!

Vidz himelipowa.....aiseee sasa hiyo haircondition ndio funga kazi.Ninunulie mwaya doctor iwe inanicondi😀shia nywele zangu
 
HF ngoja tukimbie huku tusije tukaambiwa tunaharibu tangazo la mwenye toyota vidz yenye haircondition

Vidz himelipowa.....aiseee sasa hiyo haircondition ndio funga kazi.Ninunulie mwaya doctor iwe inanicondi😀shia nywele zangu
 
tunanegotiate ........nina haja kweli kweli.........usiniuwe mkubwa.
 
Yani mkuu mwisho 4.5mill ni halali
 
Asant kwamlio toa mchango na mlio ona huu niwanja wakuliza maswali ya kitoto nimeshauza saiv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom