Toyota Verossa

laturu

New Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Wakubwa habari zenu? Jamani ninataka kununua Verossa..ila sijui kama ni gari imara ama vipi? Naombeni munipe uzoefu wenu kuhusu hizi gari.
 
Wakubwa habari zenu? Jamani ninataka kununua Verossa..ila sijui kama ni gari imara ama vipi? Naombeni munipe uzoefu wenu kuhusu hizi gari.

Jichange uvute MARK-X
 
Bora uchukue Subaru legacy new model mkuu,hii gari iko pouwa inahimili any conditions bora Tu service
That's ma advice to u
 
Bora uchukue Subaru legacy new model mkuu,hii gari iko pouwa inahimili any conditions bora Tu service
That's ma advice to u

Mkuu Subaru Legacy zipo za aina tatu..Legacy B4, Legacy Lancaster na Legacy Touring Wagon..ipi unaimaanisha?
 
Asanteni wakubwa...nimeona hiyo engine size ya mark x hadi mwili ukasisimuka mafuta yake sitayaweza. Kwani Verossa ina mapungufu gani? Nisaidieni maana gari nimeioenda kwelikweli ila siwezikurupuka kuinunua bila kupata ushauri kwa wazoefu.
 
Wakubwa habari zenu? Jamani ninataka kununua Verossa..ila sijui kama ni gari imara ama vipi? Naombeni munipe uzoefu wenu kuhusu hizi gari.

kwa nini usiopt for BMW 3 series ya 2002 iko makini sana 2000cc mwendo mdundo comfortability ya kulala?
Gari makini sana na spare zipo za kumimina Kariakoo
 
Juzi Ngasa kauza Verosa kulipa deni la Simba. Chezea Adeni Rage wewe!
 
Ulishamiliki Verossa kumbe! Nipe experience yako juu ya uimara wa verossa na mapungufu yake.
 
Ulishamiliki Verossa kumbe! Nipe experience yako juu ya uimara wa verossa na mapungufu yake.

verossa cjamiliki me niko kwenye Subaru zaidi ila naona verossa ni mayai sana cdhani km inaeza stahimili masafa marefu
 
Verossa ni sawa na Mark II grande GX110 zimetofautiana body design tu,Ni nzuri Chagua ya cc 2000 Beams2000
 
Wakubwa habari zenu? Jamani ninataka kununua Verossa..ila sijui kama ni gari imara ama vipi? Naombeni munipe uzoefu wenu kuhusu hizi gari.
Mkuu kwanza kabisa hongera kwa kufikisha hela ya kununua gari.
Ushauri wangu ni kuwa haya magari yaliyopo kwenye fasion kibongobongo sio mazuri kabisa especially kama una mpango wa kubaki nalo for the unforseable future! ntakupa mfano wa Chaser, GX 100, 110, Baloon au Mark II kiUjumla. mwanzoni zilikuja kwa spidi kubwa sana na bei zake zilikuwa juu sana ila sasahivi sad to say zimeishia kuwa taxi mtaani :tape:!!kwanza mafuta zinakunywa vibaya sana na watu hawazitaki tena.. Kama umefikisha pesa yako nzuri just go for a 'Brand' car!! Gari kama BMW, Benz zimekuwa zikichukuliwa kuwa magari ya bei ghali sana wakati si hivyo. kwa mfano BMW ya mwaka 2001 bei around $ 2300 - $ 3000 of CIF! na Verossa ya mwaka 2001 bei around $ 3400 - $ 4000!! na vile vile ishu kwamba spea zake ni ghali nadhani sio ishu sasahivi mambo ya utandawazi yanarahisisha maisha. Unaweza kuagiza 'mwenyewe' spea yoyote ile kwa bei ndogo sana kulinganisha na bei za hapa bongo!! Consumption ya mafuta ni ndogo sio kama watu wanavyodhani, kwa mfano gari kama BMW 3 series yenye 1890cc mwaka 2001 ina consume mafuta kidogo ukilinganisha na Verossa make 2001 yenye 1980cc au Subaru mwaka 2001 yenye 1990cc .Kwanza kabisa ni magari yanayodumu sana, chukulia mfano benz old model zinapiga kazi mpaka leo hii. Ntajaribu kukuchambulia appearance ya magari matatu ninayodhani ni alternative nzuri zaidi ya verossa! Assuming unataka kununua gari la mwaka 2001 ambalo lipo subjected to Dumping Duty!

BMW 3 Series ......................................................................Toyota Verossa

Year: 2001 ..........................................................................Year: 2001
Engine Size: 1890cc .............................................................Engine Size: 1980cc
Top Speed: 250Km/h ..........................................................Top Speed: 180Km/h
Price (CIF Dar): $2600 ........................................................Price (CIF Dar): $3705
TRA COST (TSH): 4,800,000/= ............................................TRA COST (TSH): 5,420,000/=
Total Cost (Approximately): 10Million ...................................Total Cost (Approximately): 12.5Million

...................



Subaru Forester

Year: 2002
Engine Size: 1,990cc
Top Speed: 180Km/h
Price (CIF Dar): $3300
TRA COST(TSH): 4,000,000/=
Total Cost (Approximately): 10.5Million



1. BMW 3 Series



2. Toyota Verossa



3. Subaru Forester 2002

 
verosa ni mark 11 grande, body tu na vitu vichache vimeongezwa, ni yale yale ya cresta,superlacent,
 
Wakuu samahani kidogo na vipi kuhusu Toyota Caldina nimeipenda hii gari alafu wanasema kwamba inabidi kuagiza gari ya chini ya miaka 10 je mfano nimeagiza ya 2001 au 2002 je hapo inakuwaje wakuu??

Naomba msaada tafadhali

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkuu Brakelyn hebu nipe ushauri kuhusu hii Toyota Caldina naweza kuivuta bongo na je unaonaje uzuri wake na uimara wake??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
  1. Nadhani mpangilio wako ungeanza Preference+Good Look-Imara

Mkuu,
Unamaanisha Mark-X ni kimeo kuliko Verrosa?
Si kweli kaka, Kwa Verossa ni bora ninge-opt hata Brevis au hata Altezza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…