Toyota Verossa

Toyota Verossa

Ziggler

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
378
Reaction score
127
Toyota Verossa Ya Mwaka 2001
Price: TSH 11,000,000 - (11M)
Kilometers: 87000
Four Wheel Drive
Transmission: Automatic

Mahali Lilipo: Dar Es Salaam-
Gari iko kwenye hali nzuri, Ina AC,
Airbargs, alarm switch, Engine 2000
Beam, Maelewano ya bei yap
 
Niliiona sehemu inauzwa 9 hii gari, naona mkuu ameongeza cha juu 2.5 dah bongo kweli maisha magumu.
 
Niliiona sehemu inauzwa 9 hii gari, naona mkuu ameongeza cha juu 2.5 dah bongo kweli maisha magumu.

Utawaweza madalali wa bongo kaka! Ziggler kajiwekea maji ya 2.5 wakati mwenye gari ameshaiweka sokoni hadharani, madalali wa kweli akiona deal itamlipa anailipia kwanza inakuwa yake, then anaanza kuiuza kwa bei anayotaka yeye, siyo unauza wakati na mwenye nayo pia anaiuza tena wote mnauza online! Mwe
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
jf wati mko makini balaaa,jamaaa chaliiiiiiiiiii,chezeya jf, huku sio fb.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom