wakuu nahitaji kununua hiyo gari...so nataka nijue bei zake kwenye yards ya dar..nahitaji yenyc 2000cc na isiwe imetumika bongo...ikiwa nyeupe na rim size kumi na tano itakuwa poa sana...kwa mwenye help information karibu...