Sasa unabisha kuhusu km 12 kwa lita kwa uzoefu au ilimradi? Mimi natumia harrier same engine na hiyo ulaji wake wa mafuta ndio upo hivyo sasa wewe sijui unatumia vigezo gani kubisha
Mfumo wa umeme na engine wa gari unalotumia wewe la mwaka 47 tofauti kabsa na mifumo ya umeme na engine ya magari haya tunayozungumzia cc, kwa akili yako utasema landcruiser vx v8 itakuwa inatembea km ngap kwa lita kwa zile cc 4600?