Kwa ushauri tuu!! Stout pick up nyingi ziko moshi,jaribu kutenga wiki moja tuu uende moshi maeneo ya Masama Mula,Machame na Kwasadala huwezi ukakosa mkuu!!