Car4Sale Toyota starlet inauzwa

Dah..hela ya Tz imeshuka kiasi hiki?
Mimi nikiwa dalali gari hizi siuzi, namwambia boss auze mwenyewe maana nitapigiwa simu sana za lawama
 
Dah..hela ya Tz imeshuka kiasi hiki?
Mimi nikiwa dalali gari hizi siuzi, namwambia boss auze mwenyewe maana nitapigiwa simu sana za lawama
Huenda huzijui gari ndio maaana umeropoka ulichoandika. Heshimu sana hiyo gari soon tunakoenda na hata ukiiingia Sites za Kununua gari nje tayari bei ya Starlet iko 13-16M ni aina ya gari ambazo zinaelekea kupotea, wenzako leo wanauza Beetle, Fiat, Peugot, Land Rover 109 kwa Mamilioni ya pesa ila kwa Layman ka wewe huwezi elewa lolote.
Mkuu kama jambo hulijui heri ukae kimia tu kama sie tunaotumia Avon na Swalla.
 
Kumbuka gari imetumika bongo hiyo...anyway auze 10m
 
Acheni kupaisha gari bwana, hilo gari limekuwa imported 2011 kati ya mwezi wa 5 na wa 8, kaangalie kadi. Kipindi hicho kuagiza gari ya cc1490 kushuka chini, CIF pamoja na ushuru haizidi milioni 5. Miaka 12 baadae mtu anataka aliuze milioni 4.3!???.., Kwa ajili ya hizo rim au!?,hebu kuweni serious.., hilo gari akitokea mtu ana milioni 2 chukua fasta. Gari likishatembea bongo hata miaka miwili linashuka thamani sio starlet, ist wala nini. Na ombea mmiliki asiwe anakaa madale, makabe, chanika, etc huko ndanindani.
 
Jamaa atakwambia hujui magari..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…