Toyota sequoia platinum 2014

Maranatha Alps

New Member
Joined
May 4, 2014
Posts
3
Reaction score
0
wakuu naomba kwa mwenye information anijuze hivi hii SUV kuifikisha hapa Bongo inakuwa kiasi gani? ikiwa msrp (manufacturer's suggested retail price) ni 60,795 USD (100,311,750 Tshs).
 
Attachments

  • sequoia.jpg
    167.1 KB · Views: 235
  • sequoia-forest-upslope.jpg
    109.4 KB · Views: 246
  • sequoia1.jpg
    103.5 KB · Views: 194
  • toyota-sequoia.jpg
    42.6 KB · Views: 203
Serikali sikivu ya CCM wataagiza kama hii soon, make wameshaanza kuzichoka V8!
 
Aisee!!!hii inanikumbusha ESCROL Account aggghhhh!!!!
wakuu naomba kwa mwenye information anijuze hivi hii SUV kuifikisha hapa Bongo inakuwa kiasi gani? ikiwa msrp (manufacturer's suggested retail price) ni 60,795 USD (100,311,750 Tshs).
 
Serikali sikivu ya CCM wataagiza kama hii soon, make wameshaanza kuzichoka V8!
hahaaa haaa mkuu V8 ya 2014 ni zaidi ya hiyo yenyewe msrp ni 79605 USD (131.348,250 Tshs) so wakiamua kuchukua sequoia 2014 watakuwa wamejishusha kitu ambacho sidhani km wanaweza kufanya

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…