Simshauri mtu kuhusu hiyo gari.
Iko overrated kwenye bei, labda kwa sababu ni model ya miaka ya karibuni.
Kiufupi haina kipya chochote, na sio kweli kuwa kwenye mafuta iko economy.
Kwa mtanzania wa kawaida wa mjini, ni bora ukabakia kwenye IST na ukisogea basi hamia kwenye RV4 kuliko hiyo Toyota Rush.