Toyota Rav4 L inauzwa

Toyota Rav4 L inauzwa

gayo

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
238
Reaction score
93
Ndugu mwana JF nauza Rav4 L. Wasifu wake ni kama ifuatavyo:
1. Reg #: BZH
2. Model: Rav4 L 1997 Manual transmission 2WD
3. Odometer ~ 55,000KM
4. Gari ilipo: DSM
Bei ni 15M lakini maelewano yapo

Ni gari nzuri na ngangari sana japo sijaitumia kwa muda mrefu. Unaweza ukai google utapata wasifu zaidi

Comments zinaruhusiwa wewe jiachie tu!

Kama utaihitaji ni PM

Naiuza maana naenda masomoni katikati ya mwaka huu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kaitoe sadaka kanisani, Mungu atakuongezea. Alternatively, wape CHADEMA kwa ajili ya M4C
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom