Msingida JF-Expert Member Dec 1, 2010 10,083 11,468 Jun 26, 2016 #1 Rav 4- (2001) Km -94500 Bei- Tsh.11.5m Gari ipo Arusha Ipo katika hali nzuri,haijawahi kupata ajali. Mawasiliano kwa anayehitaji njoo PM. Attachments IMG-20160622-WA008.jpg 42.9 KB · Views: 110 IMG-20160622-WA011.jpg 61.9 KB · Views: 103
Rav 4- (2001) Km -94500 Bei- Tsh.11.5m Gari ipo Arusha Ipo katika hali nzuri,haijawahi kupata ajali. Mawasiliano kwa anayehitaji njoo PM.
P Pastor steven mdoe Senior Member Jan 13, 2016 113 34 Jun 26, 2016 #2 Siku ikishuka bei niambie me naihitaji ila kwa sasa hiyo hela ni nyingi sana
Msingida JF-Expert Member Dec 1, 2010 10,083 11,468 Jun 26, 2016 Thread starter #3 Pastor steven mdoe said: Siku ikishuka bei niambie me naihitaji ila kwa sasa hiyo hela ni nyingi sana Click to expand... Pastor una bei gani? Kwa kazi yako ya utumishi hii itakufaa sana
Pastor steven mdoe said: Siku ikishuka bei niambie me naihitaji ila kwa sasa hiyo hela ni nyingi sana Click to expand... Pastor una bei gani? Kwa kazi yako ya utumishi hii itakufaa sana
P Pastor steven mdoe Senior Member Jan 13, 2016 113 34 Jun 26, 2016 #4 Msingida said: Pastor una bei gani? Kwa kazi yako ya utumishi hii itakufaa sana Click to expand... Dah! Ndg Yangu hadi aibu ila me ninayo 8ml
Msingida said: Pastor una bei gani? Kwa kazi yako ya utumishi hii itakufaa sana Click to expand... Dah! Ndg Yangu hadi aibu ila me ninayo 8ml
Msingida JF-Expert Member Dec 1, 2010 10,083 11,468 Jun 26, 2016 Thread starter #5 Jion Pastor steven mdoe said: Dah! Ndg Yangu hadi aibu ila me ninayo 8ml Click to expand... Jiongeze Pastor,iko vizuri sana hiyo Kiltime.Jazia ifike 11 uchukue
Jion Pastor steven mdoe said: Dah! Ndg Yangu hadi aibu ila me ninayo 8ml Click to expand... Jiongeze Pastor,iko vizuri sana hiyo Kiltime.Jazia ifike 11 uchukue
Msingida JF-Expert Member Dec 1, 2010 10,083 11,468 Jul 15, 2016 Thread starter #6 Mkuu bei mbona reasonable kabisa?Karibu ujimilikishe Pastor steven mdoe said: Siku ikishuka bei niambie me naihitaji ila kwa sasa hiyo hela ni nyingi sana Click to expand... A
Mkuu bei mbona reasonable kabisa?Karibu ujimilikishe Pastor steven mdoe said: Siku ikishuka bei niambie me naihitaji ila kwa sasa hiyo hela ni nyingi sana Click to expand... A
KRISTIAN P JF-Expert Member Feb 16, 2013 352 57 Jul 17, 2016 #9 vince carter said: Ina engine gani? Click to expand... Kama sijakosea itakua VVT-I Peter Kabisa Mpelasoka said: Weka number ya simu tafadhari. Click to expand...
vince carter said: Ina engine gani? Click to expand... Kama sijakosea itakua VVT-I Peter Kabisa Mpelasoka said: Weka number ya simu tafadhari. Click to expand...