Probox na succeed... same engine na properties.. muonekano tu ndo tofauti... gari ni roho ya paks balaaaaa.. sijutiii kua nayo... haisumbui. Mwaka ws 5 sasa.. ni kumwaga oil na serive tu.. spare zimejaa.... mafuta ni kunusa

Probox Chuma Hicho Cha Germany
Nilikuwa Serengeti Vinapiga Shimo Hatari
Inatoka Serengeti Hadi Tarime Ni Gari Imara Barabara Ni Vumbi, Hata Succeede Ipo Sawa