Toyota Raum New Model

Toyota Raum New Model

Chebbyy

Member
Joined
May 21, 2017
Posts
19
Reaction score
6
Toyota Raum
New Model
Year: 2003
Engine: cc1490 vvt-i
Fuel: Petrol
Mileage: 110,000 km
Location: Dar
Good and clean condition
Price: 8m
Njoo Tufanye Biashara
Call/Sms 0713706675 or 0689858324
IMG-20180422-WA0007.jpg
IMG-20180422-WA0001.jpg
IMG-20180422-WA0017.jpg
IMG-20180422-WA0007.jpg
IMG-20180422-WA0003.jpg
IMG-20180422-WA0004.jpg
20180422_150522.jpg
IMG-20180422-WA0016.jpg
 
Hahaaa hebu ficha upumbavu wako kijana, makosa yaleyale ndio umekuja yatetea.
Unaelewa maana ya gari new model wewe? Kwa akili zako fupi za kuvukia barabara nawe unakubali hiyo raum ya 2003 ni new model...

Hahaha
Mkuu labda raum hawana model mpya zaidi ya hiyo ya 2003
Kama IPO waelimishe wawekee na picha kabisa,bishaneni kwa hoja siyo maneno tu kama waimba taarabu
 
Hahaha
Mkuu labda raum hawana model mpya zaidi ya hiyo ya 2003
Kama IPO waelimishe wawekee na picha kabisa,bishaneni kwa hoja siyo maneno tu kama waimba taarabu
Ndugu niko makini ninapomkosoa mtu, tatizo la hawa madalali wa mtaani kila gari inayoingia tokea japan kwao wanaita new model bila hata kujiuliza toleo la mwisho limetoka mwaka gani.
Kwa toyota raum kuna toleo hadi la mwaka 2008 japo sina uhakika kama wametoa jipya zaidi ya hilo...
 
hiyo ndiyo new model ya raum, hakuna nyingine na walianza kuzitoa 2003 ukiacha zile za mwaka 1998!! so dalali yupo sawa kabisa kwamba ni new model maana hawajatoa models nyingine isipokuwa hiihii ya 2003 ndo imeendelea kutengenezwa nadhani mpaka 2007
 
Asante kwa kumuelewesha mkuu bt mm ndio mmiliki wa iyo gar mkuu sio dalali mm
 
Madalali ni shiida,serikali iwatungie sheria kali tu wawe na ofisi zao na walipe kodi full stop.

Huu ungese unakuta gari inauzwa mil 6 lenyewe linakwambia bila 6.5-7mil haishuki boss.

***** mnakera sana.

NB:Hii haihusiani na thread hii.
 
Asante kwa kumuelewesha mkuu bt mm ndio mmiliki wa iyo gar mkuu sio dalali mm
Kama wewe ni mmiliki hapo sawa na usimpe gari yako dalali,wanazingua kishenzi kama vile wanajua uchungu wa kuagiza gari Japani.
 
Maongezi yapo pia km unaitaj nichek ktk contact zang nilizoweka apo juu atuwezi shindwana kabsa.
 
Ndugu niko makini ninapomkosoa mtu, tatizo la hawa madalali wa mtaani kila gari inayoingia tokea japan kwao wanaita new model bila hata kujiuliza toleo la mwisho limetoka mwaka gani.
Kwa toyota raum kuna toleo hadi la mwaka 2008 japo sina uhakika kama wametoa jipya zaidi ya hilo...

IMG_2173.JPG

Latest one ni la 2009 Mkuu
Achana na huyo jamaa atakua na uzoefu wa Mikokoteni make hawezi kuwa serious eti New model ni 2003..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom