mgusi mukulu
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 715
- 682
gari ipo powa haina shida yoyote waweza kuja kuiona..ipo dar es salaam mikocheni karibu na clouds.bima ni compresive,
chukua 4.5 kesho tufanye biashara asubuhi
gari iko wap nije nione?Mkuu mwisho ni 5.7 kamili.. 4.5 haina maslahi..
gari iko
nakuja Dar next week kiongoz nije tuongee vzuriGari bado ipo.......
Hicho ni kinywaji
gari ipo powa haina shida yoyote waweza kuja kuiona..ipo dar es salaam mikocheni karibu na clouds.bima ni compresive, millage ni 80,000 km.
price: 6,000,000 Tsh negotiable.
mawasiliano: 0716805201.
ongeza mkuu tufanye biashara........M 5 tunaweza fanya biashara?