Toyota Raum inauzwa

Toyota Raum inauzwa

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,943
Reaction score
809
Toyota Raum inauzwa bei ni 11m tu negotiable, for serious buyer only just pm me

ImageUploadedByJamiiForums1408422775.441270.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1408422803.626775.jpg
​

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Imesajiliwa hapa tz au kama inavyoonekana kwenye picha?specification zake kama cc ngapi,imetengenezwa mwaka gani na picha za ndani?jibu plz
 
Imesajiliwa hapa tz au kama inavyoonekana kwenye picha?specification zake kama cc ngapi,imetengenezwa mwaka gani na picha za ndani?jibu plz

Bado haijasajiliwa ndio imetoka bandarini

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Ili kuiingiza barabarani inatakiwa niilipie nini na nini? Ushuru wa TRA umeishailipia?
 
Daah wakubwa samahanini sana nilikuwa niko bize kuitoa hii gari bandarini nimeshaiuza lakini.

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom