Sijaona milage ya hiyo gari.Nimeona umetaja 8mil mara mbili. Umeitaja hivi: Mln 8 na 8,000,000/.Bei Mln 8,Milage ni 8,000,000/
Inapungua kidogo,gari iko vizuri sana Haina shida yoyote.....
Piga sim 0715591141,dar
Ova
View attachment 675366View attachment 675367View attachment 675368
Yaani anamaanisha imeenda km 8,000,000Sijaona milage ya hiyo gari.Nimeona umetaja 8mil mara mbili. Umeitaja hivi: Mln 8 na 8,000,000/.
Ha ha ha ha inapendeza...!Yaani anamaanisha imeenda km 8,000,000
Km 90,000 baada ya gari kufika Tanzania au tangu umeinunua kwa wamiliki wa awali?Nlisahau kusema Milage nshaweka tayari ni 90000....
Karibu
Ova
Gari ni injin sio plate numberMil nane namba C alaf milleage 90,000.
Kuna 7mGari ni injin sio plate number