Toyota premio new model mwaka 2006.

mfetere

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
251
Reaction score
95
habari kuna hii gari premio new model ya mwaka 2006 gari nzuri sana maarufu gear mkasi ,engine ndogo, km chache elfu 70 bei inaenda kwa mil 14 tu chap kwa haraka serious buyer 0714787795 gari dar unaletewa kuangali gari ukiwa na hela ya kuweka mafuta kukwepa usumbufu.
 
Hyo Premio ya kuagiza namba DLJ ambayo,ukiagiza hadi inakufikia 12 had 13M,je hyo ya kwako inakipi cha ziada kuconvice umma uinunue? je imetembea Km ngapi, je ni cc ngapi coz zinatofautiana

Tuwekee hapa CIF value, Duties & Taxes na Port & Agency fee charges ili tufanye comparison
 

Sasa kaka kama hyo ni new model na ya mwaka 2017 tuiiteje?
 
Hyo ni cc ngap? mbona bei yako haina tofaut na show room wakat ushatumia? DFJ
 
watu naona hajajua tifauti angalia taa za nyuma na pia gear zipo tofauti hii ni ya mwaka wa mbele 2006 showroom zinauzwa mil 16.5 fanyeni utafiti.
 
kama unahitaji ipo nyingine mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…