Toyota prado inauzwa ni mwaka 2001

Toyota prado inauzwa ni mwaka 2001

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Toyota prado ya 2001, millage 90,000 ipo katika hari nzuri sana. bei 29m. tuwasiliane 0657 1455555 & 0755 099 291

WP_000183.jpg WP_000187.jpg WP_000180.jpg WP_000182.jpg
 
Nina million mbili, itafaa? Assuming ni automatic transmission that is!
 
ebwana kuna jamaa yangu yupo arusha alikua anatafuta sana prado hizo lakini namba yake nilisahau kuhifadhi kwenye simu, lakini akinipigia nitampa namba zako
 
ebwana kuna jamaa yangu yupo arusha alikua anatafuta sana prado hizo lakini namba yake nilisahau kuhifadhi kwenye simu, lakini akinipigia nitampa namba zako

unachekesha mkuu. Dah, haya ngoja umsubiri
 
ebwana kuna jamaa yangu yupo arusha alikua anatafuta sana prado hizo lakini namba yake nilisahau kuhifadhi kwenye simu, lakini akinipigia nitampa namba zako
sawa nitashukuru
 
Mashine ya ukweli, lakini naona kabei ni kama kako juu kidogo!
 
Prado imepunguzwa bei sasa inauzwa 28m . karibuni
 
wajameni kaprado bado kapo kwa anayekataka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom