Wakuu gari ipo dar,bei ni tshs 40,000,000/-,maongezi yapo!picha zinakataa kuupload,ni Pm email zenu niwatumie!
bei nzuri, tatizo haujaweka details za kutosha!
Nakuona dalali unamendea deal hilo
Mkuu kumbe na wewe ni mdau katika hizi business?hahaha, hii akishuka mpaka 30 mkoani unaenda kupiga 60 kiroho saafi!
Ukubwa wa Injini (CC), Odometre inasomaje (mileage), nk ni muhimu sanaToyota Prado ya mwaka 2007,engine ya 5L,manual!ipo katika hali nzuri sana!serious buyers PM for more details
Mkuu kumbe na wewe ni mdau katika hizi business?
hahaha, hii akishuka mpaka 30 mkoani unaenda kupiga 60 kiroho saafi!
Channel ulotengeneza na Mtaji ulokuwa nao unakusaidia sana
mtaji mkubw ni watu kaka, huo ndiyo mtaji mkuu katika biashara yoyote!