TOYOTA PLATZ cc 990

jino kwa jino

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
785
170
[h=1]wapendwa nimefika bei hiki kigari TOYOTA PLATZ ya mwaka 2000 ina cc 990 imetembe km 51000 mnaovijua kinaweza kuhimili masafa marefu wenda kula x-mass kijijini huko tukuyu, na njia korofi za dsm, nishaurini kabla sijamkabithi mutu cheki yake[/h]
 
wapendwa nimefika bei hiki kigari TOYOTA PLATZ ya mwaka 2000 ina cc 990 imetembe km 51000 mnaovijua kinaweza kuhimili masafa marefu wenda kula x-mass kijijini huko tukuyu, na njia korofi za dsm, nishaurini kabla sijamkabithi mutu cheki yake

chukua tu!!!
 
Amekubwenga kwa bei gani?
 
7M hakijatumika sana bongo kina kama mwezi mmoja tangu kitue nchini
Chukua huo mkoko mdada (jinsia kwa hisani ya avatar). Bei hiyo si mbaya japo waweza kumlilia ki-kikekike (kwa hisani ya avatar) anaweza akaionea huruma jinsia yako (kwa mujibu wa avatar) akakupunguzia kiduchu.

Chonde chonde tusinyimane lifti.
 
sio stylish sana ila kwa matumizi ya bongo ya kawaida kanafaaa sana na ni economical sana na kanahamili visafari vya hapa na pale. hyo ni ni kama vitz tu tofauti ni bodi
 
Chukua huo mkoko mdada (jinsia kwa hisani ya avatar). Bei hiyo si mbaya japo waweza kumlilia ki-kikekike (kwa hisani ya avatar) anaweza akaionea huruma jinsia yako (kwa mujibu wa avatar) akakupunguzia kiduchu.

Chonde chonde tusinyimane lifti.

mkuu Asprin kwani kwa mwanaume hakifai?? picha isikutishe nimeweka ya my wife

lift utapata kama unakaa mbezi shamba nitakupitia asubuhi
 
Back
Top Bottom