Toyota passo inauzwa

Toyota passo inauzwa

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
93,992
Reaction score
132,366
Inauzwa 4.8 mln(fixed)kwa mwenyewe ambaye ni mmiliki haidaiwi vibali tatizo lake ni gas ya ac imeisha ni ya kujaza passo ni ya piston 4 kwa mawasiliano piga simu 0715591141 nku link na muuzaji Njoo ujikamatie gari gari inapatikana Dar es salaam
 
Picha....zake hizi hapa
 

Attachments

  • IMG-20170310-WA0010.jpg
    IMG-20170310-WA0010.jpg
    63.8 KB · Views: 70
  • IMG-20170310-WA0009.jpg
    IMG-20170310-WA0009.jpg
    64.7 KB · Views: 71
  • IMG-20170310-WA0033.jpg
    IMG-20170310-WA0033.jpg
    48.5 KB · Views: 74
kuna jamaa kasema ana 2m cash, kama vipi mfanye naye biashara
 
Mi na mbili unusu Kama uko tayari nitafute namba hii 0713880711
 
Watu mnadharau! 2ml kwani imekuwa pikipiki hiyo?
Usijali ni fedha nayo nyingi....Sema tu haijafikia thamani ambayo inaweza nunulia kipasso hicho...we wazoeee tu

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom