Toyota Passo 2004 Red shiny Metallic nauza.... In very Good condition..!!!!

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,851
16,748
Nauza Toyota Passo G, 2004, 1300cc, Red shiny Metallic,
Registration... T 331 BZK, New Music System with Big big booster, gari ina siku 46 tangia itoke Nagoya, Japan....
Bei..... 12 Million.....
1litre inatembea 18.5 km.....very very fuel efficient car
Call 0715800001
 
siku 46 tu kwa nn unataka kuuza mkuu?
!!! naweza hisi ina mekaniko malfangsheni.
 
siku 46 tu kwa nn unataka kuuza mkuu?
!!! naweza hisi ina mekaniko malfangsheni.

Nahitaji gari kubwa zaidi ya hii, haina tatizo lolote, i prefer Rav 4 L 2002, ambayo ni ghali but i will add up kuinunua
 
hiyo passo milion 7 kuagiza japan CIF + tax

Stop lying... Mie nimeagiza na imefika hadi 11.7 millioni...na hapo sijafunga mziki... Only music costs tshs 730,000... acha uongo again
Passo ni gari nzuri sana, haina tatizo kabisa, ila nahitaji kubwa like Rav 4 2002...generation
 
Dah, mkuu umeagiza umekaa nayo exactly siku 46 only to realize kwamba you need a bigger car!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom