Year: 2004
67000km
1300cc
Automatic
Cd player, AM/FM
Full AC
New Tyres
Sport rims
Bei 7.3mil
0716398757
Serious buyers only
67000km
1300cc
Automatic
Cd player, AM/FM
Full AC
New Tyres
Sport rims
Bei 7.3mil
0716398757
Serious buyers only
Upo dar au?
Price mkuu??
kwanza bcoz hii passo ni ya silver bei ingeshuka kdg kutokana na rang,pili cc 1.3 wakat kuna passo nyng 996...shuka kdg price tupate kwa kuanzia
Hizo za injini ndogo huwa zinasumbua siku hizi tumeacha ziagiza, zina vibrate vibrate ovyo baada ya muda kidg huwa zinaleta usumbufu kama vp kamuulize fundi wako, pili kama upo serious unahitaji ungepiga tuongee bei swala la rangi haimanishi gari haina thamani na gari hii imewekewa rims tofauti na zile zinazokuwa imported with wheel caps au tofauti.
Fanya research alafu tuje tuongee biashara, nxt tym piga simu tueleweshane kiutu uzima sio mpaka tuonyeshane nan hajui na nani anajua kwenye jukwaa!! Namaliza gari ipo karibu tufanye biashara. Siku njema..
Yaani wewe huwajui madalali wa magari walivyo. Kuna lugha wanaita kumvuruga mwenye gari. Ata geuza kila kitu kwenye gari kionekane nrgative.
Mimi ninavyojua rangi mbaya ni nyeupe. silver haina shida kabisa. Hata kama Engine ikiwa 996 haina shida kwa matumizi ya hapa mjini itakua shida tu kwa matumizi ya masafa marefu.
Ukitaka kuuza kitu chako simama kidete ndugu mtu akikwambia ina scratch mwambie aende kuagiza Toyota directly ndio atapata ambayo haina scratch.
Kuna watu hata baisikeli hawajawahi miliki lakini wanajua ubaya wa magari kuliko kitu chochote. ukiweka tangazo la kuuza gari hapa watakuchambulia negative za hilo gari mpaka unajikuta umelegeza bei kwa kiasi kikubwa.
mimi ninauza magari haya.
Vitz: 5.7M
Alteza 7.8M
Rav fupi old model 6M
Tangazo rasmi linaandaliwa.