masele paul
Member
- Jan 12, 2017
- 46
- 37
Wadau ninaomba kufahamu ubora na uimara wa injini za Noah new model pamoja na mfumo utengenezaji yaani kufanya service ni changamoto zipi utakumbana nazo. Uimara wa bodi lake. Nitashukuru
bei gan uliyonayo na picha naombaaUkiitaka ninayo tuwasiliane
Njoo pmbei gan uliyonayo na picha naombaa
Iyo Noah ulisha uza? Kama bado unataka ngapiNjoo pm