Micheweni Pemba JF-Expert Member Joined Jul 13, 2010 Posts 351 Reaction score 181 Nov 30, 2015 #1 Nauza gari Yangu kwa bei rahisi sana only 5,500,000. Mahali ilipo ni Zanzibar.hio ndio bei ya mwisho hakuna kupatana. Gari ilikuwa inatumika kwa ajili ya familia Yangu.nimeamua kuiuza sbb nataka nitatue matatizo ya pesa. Nakutakia kila la Kheri. Attachments 1448836991955.jpg 32.7 KB · Views: 296 1448837004235.jpg 33.4 KB · Views: 251 1448837022183.jpg 33.7 KB · Views: 254 1448837046384.jpg 27.9 KB · Views: 243 1448837064493.jpg 37.9 KB · Views: 254
Nauza gari Yangu kwa bei rahisi sana only 5,500,000. Mahali ilipo ni Zanzibar.hio ndio bei ya mwisho hakuna kupatana. Gari ilikuwa inatumika kwa ajili ya familia Yangu.nimeamua kuiuza sbb nataka nitatue matatizo ya pesa. Nakutakia kila la Kheri.
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,892 Reaction score 10,123 Nov 30, 2015 #2 Asante mzee wa Micheweni. Hizi najua ni matoleo ya Muingereza. Hembu tuambie ni Mjapani au Muingereza?
Asante mzee wa Micheweni. Hizi najua ni matoleo ya Muingereza. Hembu tuambie ni Mjapani au Muingereza?
SAM'S Member Joined Sep 6, 2014 Posts 36 Reaction score 2 Nov 30, 2015 #3 Una muda gani nayo toka ununue