Toyota mark x inauzwa bei poa

Toyota mark x inauzwa bei poa

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
gari tajwa hapo juu ipo sokoni

manufacture year 2004
cc 2490
Odometer 6497km
kwa mawasiliano zaidi piga
0714358610
 
Attachments

  • IMG_20140917_120956.jpg
    IMG_20140917_120956.jpg
    357 KB · Views: 938
  • IMG_20140917_121037.jpg
    IMG_20140917_121037.jpg
    372.6 KB · Views: 407
  • IMG_20140917_121019.jpg
    IMG_20140917_121019.jpg
    340.3 KB · Views: 399
  • IMG_20140917_121108.jpg
    IMG_20140917_121108.jpg
    399.9 KB · Views: 365
  • IMG_20140917_121313.jpg
    IMG_20140917_121313.jpg
    248.2 KB · Views: 339
  • IMG_20140917_121130.jpg
    IMG_20140917_121130.jpg
    326.5 KB · Views: 349
  • IMG_20140917_121949.jpg
    IMG_20140917_121949.jpg
    369 KB · Views: 351
  • IMG_20140917_120930.jpg
    IMG_20140917_120930.jpg
    399.1 KB · Views: 343
Hilo famba aisee...ATN alafu odometer 6497km. Labda kama ilihifadhiwa kwenye kihenge....makovu kibao.
 
Yr of manufacture 2004
+ plate number! 6497km!? Hii gari mpya! Ilikuwa haitembei?
 
attachment.php

Bei poa ndio ngapi? ATN ina km 6497? Au hata kama 64970km hii gari inamiaka karibia 8 hapa bongo,je kwa japani ilitoka na 0km uliponunu 2006? Ina maana miaka miwili 2004 mpaka 2006 ilikuwa yard? Je ni kweli kwa bongo ilivyoingia na 0km imetembea miaka 8 kwa 64970km? Inamaana ilikuwa inatembea km 22 kwa siku.
 
Kweli ac ha uitwe King Kong,yaani una data za ukweli.
Hongera unatusaidia sie wenye kuvamia tu,licha ya kwamba baadhi ya mida unakumbana na changamoto za wahusika
 
Kweli ac ha uitwe King Kong,yaani una data za ukweli.
Hongera unatusaidia sie wenye kuvamia tu,licha ya kwamba baadhi ya mida unakumbana na changamoto za wahusika

Ndugu yangu Zanzibar Spices inaumiza sana kumuingiza mkenge mtu hela ni ngumu sana kwenye utata lazima tuweke sawa ili mteja akiingia kichwa kichwa iwe ni kujitakia!! Cha kushangaza hata muuzaji hajakanusha kuhusu hizo km za gari 6,497km Reg ATN iliyotembea zaidi ya miaka 8 hapa tanzania....Nashukuru pia na wewe kuwapa makavu live watu wa design kama hii.
 
Aaaaaaaaaaagh. Hapo Cha kike hiyo namba ya siku nyingi sana labda Kama ulikuwa unaenda nayo bar tu
 
Ndugu yangu Zanzibar Spices inaumiza sana kumuingiza mkenge mtu hela ni ngumu sana kwenye utata lazima tuweke sawa ili mteja akiingia kichwa kichwa iwe ni kujitakia!! Cha kushangaza hata muuzaji hajakanusha kuhusu hizo km za gari 6,497km Reg ATN iliyotembea zaidi ya miaka 8 hapa tanzania....Nashukuru pia na wewe kuwapa makavu live watu wa design kama hii.

Miaka 8 x 365 days =2,920 days
Km 6,497/2920 = 2.2km

Ilikuwa ikitembea km 2.22 kwa siku!!
 
Halafu Dipub sio mgeni humu.
Hivi kwanini Bei zako hupendi kuweka?
Unaweza kukuta watu wanapiga kelele kumbe bei ipo chini kama milioni tatu tu kuuza.
Hembu tuambie bei.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom