Asante mkuu!elimu tosha nadhani mambo mengine nitauliza kadiri yatakavyojitokeza!Nimetumia vx kwa miaka 10plus. Engine niwahi ziona ni 1HD na 1HDT. Engine za 1HDT ziko za 12 valves na 24 valves.
Ulaji wa mafuta unatawaliwa sana na mwendo yaani speed haswa rpm..
Usipozidi 100km per hour mafuta ya kawaida yaani 9km/hr.
Usafi wa air cleaner element ni wa muhimu. Vinginevyo unaweza uza gari.
gari kawaida au kisasa zaidi zina valve mbili za kuingiza mafuta mbili exaust kwa kila cylinder ndo mana gari yenye cylinder 6 ukizidisha kwa 4 ni 24 na cylinder nane kama v8 zina valve 32 yani piston nane mara valve 424 valves inamaanisha injini yake ni ya V6maana gari zingine ndogo za inline 4 huwa zina 16 valves. Thats what i know so far!

Asante mkuu umenifungua zaidi, ingawa cjajua specifically valve zina serve purpose gani zaidi ya kuingiza mafuta na exhaust!gari kawaida au kisasa zaidi zina valve mbili za kuingiza mafuta mbili exaust kwa kila cylinder ndo mana gari yenye cylinder 6 ukizidisha kwa 4 ni 24 na cylinder nane kama v8 zina valve 32 yani piston nane mara valve 4
ila usimeze kila v6 au inline 6 ina valve 24 kuna injin baadh zina 2 valve per cylinder
kuwezesha injini kupumua vizuri na kuweza kufika higher rpm mfano injin zikiwa na bore na stroke sawa pamoja na cc sawa idadi ya piston mfano 6... kasoro idadi ya valve mfano moja ina 12 valve yani 2valve per cylinder nyingne 24 valve yan 4 per cylinderAsante mkuu umenifungua zaidi, ingawa cjajua specifically valve zina serve purpose gani zaidi ya kuingiza mafuta na exhaust!