M Mkayah Member Joined Oct 16, 2011 Posts 25 Reaction score 0 Dec 25, 2011 #1 Natafuta toyota landcruiser vx ya kununua, nina 20m, Tsh.
Babuu blessed JF-Expert Member Joined Oct 14, 2010 Posts 1,362 Reaction score 491 Dec 25, 2011 #2 Used ya bongo ,dubai au japan mkuu
M Mkayah Member Joined Oct 16, 2011 Posts 25 Reaction score 0 Dec 26, 2011 Thread starter #3 Used,Bongo boss, Dubai si mpaka nizichange sana!
M Mkayah Member Joined Oct 16, 2011 Posts 25 Reaction score 0 Dec 26, 2011 Thread starter #4 Babuu blessed said: Used ya bongo ,dubai au japan mkuu Click to expand... Bongo, used boss!
Doltyne JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 440 Reaction score 173 Dec 26, 2011 #5 Unataka ya mwaka gani? Auto au manual, diesel au petrol?
M Mkayah Member Joined Oct 16, 2011 Posts 25 Reaction score 0 Dec 26, 2011 Thread starter #6 Doltyne said: Unataka ya mwaka gani? Auto au manual, diesel au petrol? Click to expand... Ya mwaka 1992, 93, 94, 95 au 96 inayotumia Diesel iwe Auto poa lakini Manual ingekuwa poa zaidi mkuu!
Doltyne said: Unataka ya mwaka gani? Auto au manual, diesel au petrol? Click to expand... Ya mwaka 1992, 93, 94, 95 au 96 inayotumia Diesel iwe Auto poa lakini Manual ingekuwa poa zaidi mkuu!