Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini


Hapa naona kama umewachoma mabeberu weusi, wa tandale.


Mjapan hajaribiwi hata kidogo, kauwa soko la dunia huyu mwamba.


Kama unapenda Toyota/Nissan like me twende sawa
 

Sasa mzee Bavari, unawafundisha wajapani?
 
Kama unaongelea kimo ..kama ipo chini sana ni kwasababu ya hp 800.

Gari kama hili lenye 800 hp automatically watu wanlitakia speed so linabidi lishushwe ili liwe stable zaidi.

Ila 800hp dah

Kama nyingi hv kwa suv
Kidogo sana hizo.

Kuna balaa la Jeep Trackhawk, the most high-powered and quickest SUV, 0-60 in 2.3 seconds. Ukikuta ile Hennessey-tuned, mzee inakupa 1200 HP na 1,100 ft lbs of torque, fast as a Bugatti Chiron. Ingawa stock yake ni 707 HP na 645 ft lbs of torque.
 

Arusha tayari ipo
 

Gari za mabeberu hazitufai, sisi tunahitaji magari roho ya paka na yanavumilia barabara zetu.


VX V8


LEXUS


NISSAN PLATINUM
 
Aisee.. Huyu mnyama nimeona waarabu tayari wanae wanazunguka nae huko jangwani, yani ni balaa alafu spid ni 260.

Ukienda kwenye page ya Instagram ya toyota wameweka picha kibao hadi za muonekano wa ndani.

Ukiona ilivyo kwa ndani unaweza kuchoma moto ka ist kako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…