Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Hatimae mfalme wa 4*4 imara kutoka Japan amekuja kivingine ikiwa ni toleo jipya na muendelezo wa 200 series,,, hi ya sasa ni completely re-design iitwayo 300 Series!

Wasifu wake:

Imeboreshwa kwa kupewa engine ya V6 Twin Turbo yenye uwezo wa kuzalisha 400HP tofauti na ile V8 kubwa ya 5.7L iliokuwa inazalisha 381HP! Hii ni ili kuongeza ufanisi yani fuel efficiency na ku maximize power!

Driving assistance package kama lane departure! Camera ya 360 sorround na mazaga zaga mengine!

Interior redesign kwenye upande wa infotainment napo wamefanya modifications!

Some pictures


Hapa naona kama umewachoma mabeberu weusi, wa tandale.


Mjapan hajaribiwi hata kidogo, kauwa soko la dunia huyu mwamba.


Kama unapenda Toyota/Nissan like me twende sawa
 
Toyota hasa LC series ina loyal fans na enthusiasts waliosambaa dunia nzima.

I think design wise, hilo gari bado kabisa. Hakuna zile "wow" features. Anavyoviweka vilikuwepo kwenye makampuni mengine.

Nadhani angetoa na 4.4l V8 twin turbo yenye over 550hp. Ingependeza zaidi.

Otherwise, gari ya kawaida sana.

Sasa mzee Bavari, unawafundisha wajapani?
 
Hizo gari nazipenda sana mkuu, ila uwezo wa kuimiliki sina mzee baba.
Tutafika tu mkuu
IMG_20210610_104644.jpg
 
Kama unaongelea kimo ..kama ipo chini sana ni kwasababu ya hp 800.

Gari kama hili lenye 800 hp automatically watu wanlitakia speed so linabidi lishushwe ili liwe stable zaidi.

Ila 800hp dah

Kama nyingi hv kwa suv
Kidogo sana hizo.

Kuna balaa la Jeep Trackhawk, the most high-powered and quickest SUV, 0-60 in 2.3 seconds. Ukikuta ile Hennessey-tuned, mzee inakupa 1200 HP na 1,100 ft lbs of torque, fast as a Bugatti Chiron. Ingawa stock yake ni 707 HP na 645 ft lbs of torque.
 
Hizo zinaingia sokoni rasmi mwezi wa 6 huu worldwide so tarajia tu by mwezi wa 9 hivi kuziona zinazurura bongo uraiani! 200 series utawala sana sema ndio ishakuwa dated yani ikija hii utaielewa zaidi utaiona 300 series ndio kali zaidi japo sijaipenda side mirror zake muundo haujaendana na body

Arusha tayari ipo
 
Kidogo sana hizo.

Kuna balaa la Jeep Trackhawk, the most high-powered and quickest SUV, 0-60 in 2.3 seconds. Ukikuta ile Hennessey-tuned, mzee inakupa 1200 HP na 1,100 ft lbs of torque, fast as a Bugatti Chiron. Ingawa stock yake ni 707 HP na 645 ft lbs of torque.

Gari za mabeberu hazitufai, sisi tunahitaji magari roho ya paka na yanavumilia barabara zetu.

images (11).jpeg

VX V8

images (10).jpeg

LEXUS

images (12).jpeg
images (13).jpeg

NISSAN PLATINUM
 
Aisee.. Huyu mnyama nimeona waarabu tayari wanae wanazunguka nae huko jangwani, yani ni balaa alafu spid ni 260.

Ukienda kwenye page ya Instagram ya toyota wameweka picha kibao hadi za muonekano wa ndani.

Ukiona ilivyo kwa ndani unaweza kuchoma moto ka ist kako
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom