Toyota ISTs on Sale

Toyota ISTs on Sale

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Both are 2005 models
Mileage: 67000km (silver), 45000km (white)
Engine: 1300cc VVTi
Both unregistered
Price includes tranfer to your name..
Price on each: 11m (Fixed)
 
Attachments

  • 1403370386676.jpg
    1403370386676.jpg
    87.1 KB · Views: 635
  • 1403370422631.jpg
    1403370422631.jpg
    99.6 KB · Views: 570
kwakuwa hazijasajiliwa nikupe 9.5mil kwa zote mbili??..
vpdsuc.jpg

Nafikiri huna ujuzi na system za TRA, usajiri ushalipiwa ila namba haijatoka.

Kingine mileage ya hio gari yako ni tofauti na gari zangu. Alafu ingekua rahisi kuagiza magari kila mtu angefanya hivo. Kuna aspect ya risk hapo ambayo huwa converted to cost my friend.

Besides, kuanzia next month 2005 ISTs zina uchakavu so my prices are automatically very cheap now.
 
Asante mkuu. Tatizo JF kila mtu mjuaji. Mtu akishaingia kwenye internet akaona V8 inauzwa 20K anaagiza..ikifika bandarini anaambiwa kodi 50m anatoa mimacho gari tunazinunua kwa mnada

Samahani nauliza tu kwani ushuru wa gari bandarini unaweza kuzidi bei ulionunulia gari ama unatozwa accordin to percent furani ya bei ya gari
 
TRA hawaangalii bei uliyonunulia gari ndugu, wanaangalia bei ya gari ikiwa mpya ni kiasi gani. Kwa mfano unaweza nunua Rav4 $5000 lakini thamani yake ikiwa mpya ni $40,000 sasa hii amount ndio unaweka kwenye calculator ya TRA
 
Asante
 
Be foward jp inaumbua show room siku izi

Ziko website nyingi sana na sio kwamba kipindi hiki ndio watu wanazifahamu. Hizi ni biashara watu wanafanya, wana risk pesa za zao kwahio usitegemee mtu ananunua alafu akuuzie bei hio hio ya kununua. Simple business logic
 
Sawa nimeelewa
 
Nafikiri huna ujuzi na system za TRA, usajiri ushalipiwa ila namba haijatoka.

Kingine mileage ya hio gari yako ni tofauti na gari zangu. Alafu ingekua rahisi kuagiza magari kila mtu angefanya hivo. Kuna aspect ya risk hapo ambayo huwa converted to cost my friend.

Besides, kuanzia next month 2005 ISTs zina uchakavu so my prices are automatically very cheap now.
Be foward jp inaumbua show room siku izi
kwani retail selling price ya Toyota IST (2005 - 2007) si ipo kwenye calculator ya TRA? ni $19,359 sasa ukiweka hiyo value kwenye calculator yao, ushuru utakuwa around 2.8mil. ukijumlisha na bei ya kununulia gari mfano hiyo hapo juu yenye CIF $2777 jumla ya cost itakuwa around 8.5mil..

10xvw29.jpg

33trp83.jpg
 
Well calculated? Sasa hapo you are missing five things in Business man's point of view..

1. Time value of money (wewe ukihitaji kununua gari you just pay and get a car, mimi I have to wait for a month or two gari kufika)

2. Risk (ukiacha financial risk ya kutuma pesa kwa mtu usiyemjua, meli inaweza zama au kutekwa na wasomali na interest rate risk coz kuna baadhi ya charges zinalipa in dollars hapa Tz)

3. Profit margin (do I need to explain this?)

4. Huo mchanganuo wako umesahau ama hujui kwamba ukiagiza gari lazima ulipe registration, road licence, port charges which are in dollars, shipping line fee which is dollars, clearing charges na pesa za usumbufu wa bandarini ambayo sio kubwa ofcoz.. eh kuna $50 ya kutuma funds to Japan pia.

Additionally I pay for ownership transfer fee which is around 200k.

Kwa sisi tusio ya yards huwa sometimes tunaweka gari yard for display pia hio ni cost ambayo lazima niijumlishe kwenye bei.

5. Kuagiza gari ambalo hujalikagua physically of which ikiwa na defects lazima uingie gharama because a local customer accepts to buy it tena at price lower than market price.

Kwahio tusipende kubeza watu waliojikwamua kiujasiriamari kwani biashara haina tofauti na mtu alieenda nunua chungwa sh30 Tanga akaja liuza sh150 mjini..

Kama unaona unaibiwa then IMPORT!
 
Samahani nauliza tu kwani ushuru wa gari bandarini unaweza kuzidi bei ulionunulia gari ama unatozwa accordin to percent furani ya bei ya gari

Kwa ubabaishaji wa TRA bei inawezazidi,nimetoa Toyota Harrier ya 2006 ambayo CIF ilikuwa ni $9500 na kodi pekee ilikuwa Tsh 14ml,zaidi ya hapo njia nzuri zaidi ya kununua gari ililotumika ni kwa kuliona na kulikagua,hivyo ni bora tumpe biashara ASHA
 
kwani retail selling price ya Toyota IST (2005 - 2007) si ipo kwenye calculator ya TRA? ni $19,359 sasa ukiweka hiyo value kwenye calculator yao, ushuru utakuwa around 2.8mil. ukijumlisha na bei ya kununulia gari mfano hiyo hapo juu yenye CIF $2777 jumla ya cost itakuwa around 8.5mil..

10xvw29.jpg

33trp83.jpg

we ni nouma
 
Well calculated? Sasa hapo you are missing five things in Business man's point of view..

1. Time value of money (wewe ukihitaji kununua gari you just pay and get a car, mimi I have to wait for a month or two gari kufika)

2. Risk (ukiacha financial risk ya kutuma pesa kwa mtu usiyemjua, meli inaweza zama au kutekwa na wasomali na interest rate risk coz kuna baadhi ya charges zinalipa in dollars hapa Tz)

3. Profit margin (do I need to explain this?)

4. Huo mchanganuo wako umesahau ama hujui kwamba ukiagiza gari lazima ulipe registration, road licence, port charges which are in dollars, shipping line fee which is dollars, clearing charges na pesa za usumbufu wa bandarini ambayo sio kubwa ofcoz.. eh kuna $50 ya kutuma funds to Japan pia.

Additionally I pay for ownership transfer fee which is around 200k.

Kwa sisi tusio ya yards huwa sometimes tunaweka gari yard for display pia hio ni cost ambayo lazima niijumlishe kwenye bei.

5. Kuagiza gari ambalo hujalikagua physically of which ikiwa na defects lazima uingie gharama because a local customer accepts to buy it tena at price lower than market price.

Kwahio tusipende kubeza watu waliojikwamua kiujasiriamari kwani biashara haina tofauti na mtu alieenda nunua chungwa sh30 Tanga akaja liuza sh150 mjini..

Kama unaona unaibiwa then IMPORT!

I just like ua CONFIDENCE na uelewa wako....dope dope. ASHA NGEDELE
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom